Mgogoro wa Mafuta na Athari Zake
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Habari zimeripotia kushuka kwa ghafla kwa bei ya mafuta, hususan mafuta ya Texas, hadi ikafikia takriban dolari 30 chini ya sifuri.
Habari zimeripotia kushuka kwa ghafla kwa bei ya mafuta, hususan mafuta ya Texas, hadi ikafikia takriban dolari 30 chini ya sifuri.
Kwa wale walio na maswali kuhusu Jibu la Swali: Athari za Virusi vya Korona. Haya haya ndio majibu ya maswali yenu:
Ni kiwango kipi cha juu zaidi anachostahiki kupewa mtu katika Zaka? Kwa mfano, je mtu anaweza kupata pesa za kutosha za kujenga nyumba ikiwa hana nyumba? Au kuna kikomo chochote juu ya kiwango ambacho mtu anaweza kupokea? Mwenyezi Mungu akulipe kheri.
Sheria yawamwajibisha mwajiri kujifunga na sheria zinazo husiana na wafanyikazi na haki zao, lakini mwajiri anakwepa kutii sheria hiyo.
China ilitangaza kwa mara ya kwanza mnamo 4/12020, hususan jijini Wuhan, kuwa watu kadhaa waliambukizwa na maradhi ya virusi vya Korona, yaliopewa lakabu ya COVID-19, kisha yakaenea takriban katika nchi zote za ulimwengu, na nchi nyingi zikalazimisha kufungwa kwa mipaka na marufuku ya kutoka nje usiku, na kisha zikasitisha swala za Ijumaa na jamaa.
Sifa njema zote ni kwa Mwenyezi Mungu, na swala na salamu zimshukie Mtume wa Mwenyezi Mungu, jamaa zake na maswahaba zake, na wafuasi wake …
Swali ni ikiwa Mtunzi wa Shariah ameyahifadhi matangamano ya kijinsia kupitia kuweka hukmu yake asili kuwa haramu ili kuhifadhi kizazi! Je, hilo halionekani kuwa sambamba pia katika upande wa miamala ya mali na pesa, au angaa kusema kuwa asl kuhusiana nayo sio mubah…
Ningependa kuulizia kuhusu aina hii ya ununuzi ufuatao: “Kununua gari kwa sehemu ya bei yake, malipo yaliyobakia kufanywa kwa hundi za kibinafsi, lakini muuzaji hukataa kulipeana gari hilo isipokuwa baada ya kupokea malipo ya hundi ya mwisho.”
Ni njia ipi ya kutatua tatizo hili endapo ndoa itafungwa ilhali bado haijakamilika? Sio kwa sababu nimelazimishwa kutia saini, bali kwa sababu wameniambia kuwa mchumba au bwana harusi yuko mlangoni na nikamkubalia, lakini kwa kuhisi kuwa chini ya shinikizo na kulazimishwa kukubali pasi na kuzungumzishwa.
Hii ndio taarifa ya kwanza kuthibitishwa rasmi iliyotolewa na Uchina juu ya utiaji saini huo, ambapo nyuma Trump alisema kuwa atazuru Beijing baada ya kutiwa saini makubaliano hayo ili kuanza mazungumzo juu ya Awamu ya Pili …"(Trade Captain, 10/01/2020).