Hizb ut Tahrir / Australia: Khutbah ya Ijumaa “Yemen: “Mapambano Yaliyo Sahaulika”
- Imepeperushwa katika Australia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Iliyotolewa na: Mhandisi Ismail Al-Wahwah
Iliyotolewa na: Mhandisi Ismail Al-Wahwah
Ujumbe wa Chama ukiongozwa na Msemaji wake Ustaadh Abdul Hakim Othman uliwasili sehemu ya kwanza, yaani afisi ya Waziri katika Idara ya Waziri Mkuu (Masuala ya Kidini), lilikuwa jambo la kuudhi na kukera pale ambapo afisi ilipo kata miadi ya HTM.
Baada ya majuma mawili ya kuendesha kampeni "Funga Viwanda vya Pombe", , Hizb ut Tahrir / Malaysia (HTM) leo ilikabidhi waraka wa wazi kwa Mamlaka nyingi za Miji kote nchini, ikizisihi kwamba leseni zote za viwanda vya pombe na maduka, zifutiliwe mbali na kusitolewe leseni mpya kwao.
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan ulimzuru Ammi Sadiq, (Mwenyezi Mungu Amrehemu) ambaye ni miongoni mwa kizazi cha kwanza nyumbani kwake mnamo Jumanne, 16 Juni 2020 M. Ujumbe huo ulimjumuisha:
Hizb ut Tahrir/ Wilayah Syria: Kisimamo katika Kambi za Atma kwa Anwani ((قل للذين كفروا ستغلبون)) "Waambie walio kufuru: Karibuni mtashindwa...!" (Aali Imran: 12)
Kusimamisha nidhamu za Kiislamu ndiyo njia pekee ya ukombozi kwa watu wote, hususan Waamerika wenye asili ya Kiafrika, kwa kuonesha kwamba uraia wa daraja la pili ni wa kudumu.
Kwa kuizamisha Pakistan ndani ya Deni Lenye Misingi ya Riba, Serikali ya PTI Inawanyima Masikini, ili Kudhamini Faida kwa Wawekeza wa Ndani na wa Kigeni kama vile ilivyo kuwa serikali za kifisadi zilizotangulia, serikali ya PTI imeizamisha Pakistan katika Deni lenye msingi wa Riba, ikiwanyang’anya masikini haki yao kutoka katika Hazina ya Dola.
Hizb ut Tahrir/ Wilayah Syria iliandaa kisimamo mjini Atma, viungani mwa Idlib kwa anwani, "Waambie walio kufuru: Karibuni mtashindwa..." (Surah Al Imran Aya 12)
“Ni zipi sababu za kufunga Misikiti ya Mwenyezi Mungu ambapo tunaswali na kuinua mikono yetu kuomba janga hili la maambukizi limalizike?!”
Kalima ya Ustadh Tariq Raafi' mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia mbele ya Msikiti wa Swahaba Mtukufu Abu Lababah al-Answari Kuhusu Mipangalio ya Wizara ya Masuala ya Kidini nchini Tunisia iliyo lazimishwa juu ya Nyumba za Mwenyezi Mungu ambapo alielezea kuwa Swala ya Jamaa ni miongoni mwa nembo zilizo fungwa kisheria zisizo badilika.