Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi dhidi ya Ujanja wa Kijeshi wa Marekani katika ardhi ya Tunisia!
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Ijumaa, 17 Aprili 2026, matembezi yaliyoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia, yalianza kutoka Msikiti wa Al-Fath jijini Tunis, mji mkuu, baada ya swala ya Ijumaa. Matembezi hayo yalikuwa na kichwa: “Ujanja wa Kijeshi wa Marekani kwenye Ardhi ya Tunisia ni Uhalifu.”



