Jumanne, 16 Rabi' al-thani 1442 | 2020/12/01
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

TUFANI YA TWITTER

Kampeni ya Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

KOMESHA Vitisho kwa Wanawake WachaMungu wa Kiislamu wa Kyrgyzstan!

Jumamosi: Agosti 29, 2020 saa 3 pm saa za Madinah (1 pm BST)

Tafadhali jiunge na tufani ya Twitter katika kuwasaidia dada wa Kiislamu nchini Kyrgyzstan ambao wangali gerezani kwa mashtaka ya ubebaji ulinganizi wa Kiislamu.

#FreeMuslimahsKyrgyzstan

Fuatilia kampeni hapa

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumamosi, 29 Agosti 2020 14:25

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu