[Imejadidishwa]
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari kupitia ukurasa huu, DVD za hivi karibuni zilizotolewa na Idara ya Machapisho na Nyaraka katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir.