Hizb ut Tahrir/ Amerika: Kukataa Siasa za Kisekula na Kujihusisha na Jamii!
- Imepeperushwa katika Amerika
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Dkt. Abdur Rafay anauliza maswali muhimu yanayozunguka pambizoni mwa kampeni ya Joe Biden iliyotelekezwa.
Dkt. Abdur Rafay anauliza maswali muhimu yanayozunguka pambizoni mwa kampeni ya Joe Biden iliyotelekezwa.
Hatupaswi kutumbukia ndani ya shimo moja mara mbili. Waislamu walio katika nchi za Magharibi ni lazima wafahamu siasa zile zile zilizofeli za karoti na kijiti ambazo inatukengeusha kutokana Suluhisho la Lazima kutoka kwa Uislamu.
Hizb ut Tahrir / Amerika iliwasilisha amali hii ya mtandaoni. Amali hii inachunguza kwa kina mazingira tata ya kijiografia ya hali ya Gaza na katika kanda yote. Wageni wetu ni wataalamu wa masuala ya Mashariki ya Kati na ya Kiislamu.
Ukumbusho kwamba suluhisho la Gaza ni suluhisho la kijeshi linalohitaji kwamba majeshi yachukue hatua ya kuangusha tawala, kutabikisha Uislamu, na kuhamasisha majeshi kuelekea Palestina.
Hizb ut Tahrir / Amerika iliandaa amali pana katika miji mbali mbali kutoka Amerika Mashariki hadi Magharibi yake zikiyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki kwa ajili ya kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauaji wanyakuzi.
Mbele ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza,
Mbele ya ushujaa waliouonyesha Mujahidina katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linaloendelea na kudumu kuushambuliwa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na uzingiraji wake na ulipuaji wake mabomu unaoendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza
Kisimamo cha Los Angeles Kilichoyaomba Nusra Majeshi ya Waislamu Kuikomboa Al-Aqsa!
Hizb ut-Tahrir / Amerika (Washington DC) inazungumzia dori ya jamii ya Waislamu jijini Washington, DC, ikiwemo wajumbe anuwai wa afisi za mabalozi, na kuwasihi kukumbuka wajibu wao kama Waislamu ili kuwalinda ndugu na dada zao Waislamu mjini Gaza.
Hizb ut Tahrir/Amerika itaandaa Kongamano la kila mwaka la Khilafah kwa mwaka huu wa 2023 chini ya kichwa:
"Migogoro na Njia panda... Udharura wa Uislamu Kuuokoa Ulimwengu"