Hizb ut Tahrir / Amerika: Kongamano la Khilafah 2025 “Ulimwengu uko katika Njia panda: Mgogoro wa Kimfumo na Njia ya Kusonga Mbele”
- Imepeperushwa katika Amerika
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir/Amerika inaandaa kongamano lake la kila mwaka la Khilafah kwa mwaka huu, 2025, chini ya kichwa: “Ulimwengu uko katika Njia panda: Mgogoro wa Kimfumo na Njia ya Kusonga Mbele”