Jumatano, 23 Jumada al-awwal 1445 | 2023/12/06
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Amerika: Kuufuatilia Mgogoro wa Gaza “Mtazamo wa Kitaalamu wa Mgogoro Huu”

Hizb ut Tahrir / Amerika iliwasilisha amali hii ya mtandaoni. Amali hii inachunguza kwa kina mazingira tata ya kijiografia ya hali ya Gaza na katika kanda yote. Wageni wetu ni wataalamu wa masuala ya Mashariki ya Kati na ya Kiislamu. Majadiliano ya leo yanafuatilia uhusiano wa sera ya kigeni ya Marekani, machafuko ya ndani ya kisiasa ndani ya Umbile la Kizayuni, na matukio muhimu huko Gaza. Mada za leo ni pamoja na mkakati wa Marekani wa uhalalishaji mahusiano Mashariki ya Kati, athari za utawala wa Netanyahu, ushawishi wa mitandao ya kijamii katika vita hivyo, maslahi ya kimkakati ya Marekani katika eneo hilo, na masuala mengine muhimu. Mazungumzo haya yataangazia msukumo wa Marekani wa suluhisho la dola mbili na kuchunguza hali ya sasa ya mahusiano ya kimataifa kuhusu Gaza.

#ArmiesToAqsa

Jumapili, 28 Rabi-ul Akher 1445 H - 12 Novemba 2023 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu