Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Amerika: Kongamano la Kashmir

Historia ya Kujitoa Muhanga na Ujasiri Mbele ya Uvamizi

Uvamizi haramu na wa kinyama wa Kashmir kwa mara nyignine umeletwa mbele za dunia, baada ya tangazo la kubatilisha cheo maalum cha Kashmir iliyovamiwa na kufutwa kwa Kipengee 370 cha Katiba ya India na serikali ya India.

Kongamano linalenga kufichua historia ya kidhuluma, wale wanaohusika katika kudumisha/kuendeleza uhalifu huu; na suluhisho pekee ambalo litaleta usalama na ustawi kwa watu wa Kashmir na eneo zima.

Jumapili, 09 Muharram 1441 H - 08 Septemba 2019 M

Habari Zaidi: Bofya Hapa

Wakati na Mahali

Jumapili, Septemba 8, 2019
11:30 jioni – 1:30 usiku
Ukumbi wa Bombay Banquets
2448 W Devon Ave, Chicago, IL 60659

- Rekodi za Kongamano -

Hotuba ya Ufunguzi
Historia ya Kujitoa Muhanga na Ujasiri Mbele ya Wavamizi Wahindu

Suluhisho Pekee la Suala la Kashmir (Kiengereza)

Suluhisho Pekee la Suala la Kashmir (Urdu)

Kalima ya Kufunga

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumamosi, 13 Juni 2020 16:36

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu