Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Amerika: Matangazo ya Moja kwa Moja "Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Nini cha Kutarajia?" 

Je! Miaka minne ijayo itaangalia vipi uchaguzi wa urais wa Amerika 2020 huku Amerika ikikabiliwa na matatizo makubwa ya kindani kuanzia kuvunjika kwa uchumi hadi machafuko ya kijamii? Je! Amerika itashughulikia vipi masuala ya kisiasa ya kijografia ya Iran, Uturuki, Pakistan, Syria, Yemen, Libya? Je! Amerika itashughulikia vipi sera yake kuu ya kigeni ya kuidhibiti China? Jiunge na Hizb-ut Tahrir / Amerika kwa hafla hii ya mtandaoni yenye kutoa uchambuzi juu ya maswala haya makuu ya kisiasa.

Jumapili, 22 Rabi-ul Awwal 1442 H - 08 Novemba 2020 M

d

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumamosi, 14 Novemba 2020 10:04

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu