Jumapili, 26 Rajab 1446 | 2025/01/26
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir/ Wilayah Bangladesh: Kongamano "Kuanguka Kunakokaribia kwa Mfumo wa Kiulimwengu wa Kirasilimali Unaoongozwa na Magharibi"

Hizb ut-Tahrir Wilayah Bangladesh yaandaa kongamano lake la kila mwaka kwa mwaka huu kupitia Mtandaoni na litakuwa chini ya kichwa:

"Kuanguka Kunakokaribia kwa Mfumo wa Kiulimwengu wa Kirasilimali Unaoongozwa na Magharibi na Kufilisika kwa Watawala na Wanasiasa Vibaraka"

Kongamano hili litagusia mada tatu:

Mada ya Kwanza: "Kuanguka Kunakokaribia kwa Mfumo wa Kiulimwengu wa Kirasilimali Unaoongozwa na Magharibi na Kufilisika kwa Watawala na Wanasiasa Vibaraka"

Mada ya Pili: Mfumo Mpya wa Kiulimwengu Unaoongozwa na Dola ya Khilafah (hivi karibuni, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu).

Mada ya Tatu: Mwelekeo kwa Watu

"... Kisha itakuwepo Khilafah kwa Njia ya Utume" [Musnad Ahmad]

Basi Kuweni Pamoja Nasi...

Ijumaa, 28 Rabi' Al-Akhir 1443 H sawia na 03 Disemba 2021 M

Wakati na Mahali

Tarehe: Ijumaa, 03 Disemba 2021 M
Wakati: 15:00 (Saa za Bangladesh)

Ili Kufuatilia Bonyeza Hapa


Ili Kutazama Matangazo ya Moja kwa Moja

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu