Jumatatu, 28 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/30
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Indonesia: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah

Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir amezindua kampeni pana ya kiulimwenguni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja Hijria ya kuvunjwa kwa Khilafah, 28 Rajab al-Muharram 1442 H / 2021 M, na katika ukurasa huu, tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Indonesia ndani ya wigo wa kampeni ya kiulimwengu iliyozinduliwa na Hizb.

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

- Video -

- Kalima ya Ustadh Rokhmat Labib -

Wajibu wa Kuukalifisha Umma na Kubeba Jukumu Lake!

Ijumaa, 21 Rajab 1442 H sawia na 05 Machi 2021 M


- Kalima ya Ustadh Yasin Muthohar -

Khilafah ni Ahadi ya Mwenyezi Mungu (swt)!

Ijumaa, 21 Rajab 1442 H sawia na 05 Machi 2021 M

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة

#ReturnTheKhilafah

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Indonesia:

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Indonesia

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Indonesia

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu