- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Afisi Kuu ya Habari: Amali za Kiulimwengu za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Miaka Mia Moja ya Kuvunjwa Khilafah 1442 H - 2021 M
Katika mwezi wa Rajab al-Muharram wa mwaka huu 1442 H - 2021 M na kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka mia moja uchungu ya wahalifu kuiangamiza Dola ya Uislamu iliyo simamishwa na Bwana wa Mitume wote Muhammad (saw), na kusitishwa kwa nidhamu ya utawala ya Kiislamu (Khilafah) ambayo iliangaza pembe za ulimwengu kwa kipindi cha karne 13 mnamo 28 Rajab 1342 H sawia na 3/3/1924 M, na chini ya uongozi wa Amiri wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa, Ataa bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir inaandaa amali pana za umma katika nchi zote ambazo inafanya kazi ndani yake chini ya kauli mbiu:
"Katika Kumbukumbu ya Miaka Mia Moja ya Kuvunjwa Khilafah… Isimamisheni Enyi Waislamu"
Na sisi katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut-Tahrir, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, kupitia ukurasa huu, tutazishughulikia kwa kina amali hizi, tukimwomba Mwenyezi Mungu (swt) atujaaliye kusimama kwa Dola ya Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume, na hilo sio zito kwa Mwenyezi, Mwenyezi Mungu (swt) asema:
((وَعَدَ اللَّهُ الَّذِينَ آمَنُوا مِنْكُمْ وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ لَيَسْتَخْلِفَنَّهُمْ فِي الْأَرْضِ كَمَا اسْتَخْلَفَ الَّذِينَ مِنْ قَبْلِهِمْ وَلَيُمَكِّنَنَّ لَهُمْ دِينَهُمُ الَّذِي ارْتَضَىٰ لَهُمْ وَلَيُبَدِّلَنَّهُمْ مِنْ بَعْدِ خَوْفِهِمْ أَمْنًا ۚ يَعْبُدُونَنِي لَا يُشْرِكُونَ بِي شَيْئًا ۚ وَمَنْ كَفَرَ بَعْدَ ذَٰلِكَ فَأُولَٰئِكَ هُمُ الْفَاسِقُونَ)).
"Mwenyezi Mungu amewaahidi wale walio amini miongoni mwenu na wakatenda mema, ya kwamba atawafanya makhalifa katika ardhi kama alivyo wafanya makhalifa wa kabla yao, na kwa yakini atawasimamishia Dini yao aliyo wapendelea, na atawabadilishia amani baada ya khofu yao. Wawe wananiabudu Mimi, wala wasinishirikishe na chochote. Na watao kufuru baada ya hayo, basi hao ndio wapotovu." (An-Nur: 55)
Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M
- Ili Kufuatilia Uangaziaji Mpana kwa Lugha Nyenginezo -
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
Kalima ya Mhandisi Salah ad-Din Adada (Abu Muhammad)
Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Kwa mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka Mia Moja ya Kuvunjwa Khilafah
Kalima ya Dkt. Nazreen Nawaz
Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Kwa mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka Mia Moja ya Kuvunjwa Khilafah
Afisi Kuu ya Habari: Kampeni ya Kitengo cha Wanawake katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa Khilafah
- Alama Ishara za Amali na Uangaziaji Mpana -
#أقيموا_الخلافة | ![]() |
![]() |
![]() |
#ReturnTheKhilafah | ![]() |
![]() |
![]() |
#YenidenHilafet | ![]() |
![]() |
![]() |
#خلافت_کو_قائم_کرو | ![]() |
![]() |
![]() |
#TurudisheniKhilafah | ![]() |
![]() |
![]() |
- Silsila za Video -
Al-Waqiyah TV: Podcast "Kumbukumbu ya Kuvunjwa kwa Khilafah: Uchungu na Matumaini!"
Al-Waqiyah TV: Silsila "Kalima katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah!"
- Vibandiko vya Kampeni -
http://hizb-ut-tahrir.info/sw/index.php/kampeni/1345.html#sigProIdc5d5265502
http://hizb-ut-tahrir.info/sw/index.php/kampeni/1345.html#sigProId4342627d51
- Kongamano la Mwisho la Kiulimwengu la Amali za Kampeni -
Mwenyezi Mungu akipenda, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut-Tahrir itatangaza kongamano la mwisho la kiulimwengu la kampeni "Katika Kumbukumbu ya Miaka Mia Moja ya Kuvunjwa Khilafah ... Isimamisheni, Enyi Waislamu" kupitia Televisheni ya Al-Waqiyah Jumamosi, 29 Rajab 1442 H, sawia na 13 Machi 2021 M. Basi kueni pamoja nasi mushiriki nasi katika thawabu, Mwenyezi Mungu (swt) yuko katika msaada wa mja maadamu mja yuko katika msaada wa nduguye.
- Amali za Maeneo Mengine Ndani ya Kampeni Hii ya Kiulimwengu -
Ujasusi wa Erdogan Wawakamata Kina Dada Wanne kwa Kutaka Kwao Kusimamishwa Khilafah kutoka Ngome ya Amuriyah!
Kutokana na athari ya video, ambayo ilienezwa kwenye mitandao, kina dada wanne, na pamoja nao mwanamke wa miaka 16 kutoka juu ya ngome ya Amuriyah nchini Uturuki, ambapo walinyanyua bendera ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw), na kuutaka Umma wa Kiislamu kwa maneno mafupi kuhamasika kusimamisha tena Khilafah, vibaraka wa Erdogan na ujasusi wake walizingira nyumba za Dada hao mnamo Jumanne asubuhi, 02/23/2021, na kuwakamata dada hao wanne, msichana mmoja mwenye umri wa miaka 16 na mtoto mchanga, na bado wangali mikononi mwa madhalimu hao... Na sisi pia tunapaza sauti yetu juu, "Sote tunataka kusimamishwa tena kwa Khilafah Rashida."
- Taarifa za Vyombo vya Habari -
- Makala -
Miaka Mia Moja Bila ya Khilafah: Hasara kwa Afrika na Ubinadamu Said Bitomwa |
Matokeo ya Utawala wa Urasilimali na Demokrasia kwa Waislamu na Walimwengu Wote Mustafa Abu Ibrahim |
Miaka 100 ya Ufisadi, Mporomoko, Vita, Uharibifu na Tabu Ali Nassoro Mwanacha wa Afisi Kuu ya Habari |
Miaka 100 Tangu Kuvunjwa kwa Khilafah: Unafanya Nini Kuirudisha? Ali Nassoro Mwanachama wa Afisi Kuu ya Habari |
Miaka 100 Bila Khilafah: Ummah Unaendelea Kuzama Katika Mizozo ya Kikabila Ali Nassoro Mwanachama wa Afisi Kuu ya Habari |
Namna Khilafah Ilivyo Vunjwa kwa Kifupi Ali Nassoro Mwanachama wa Afisi Kuu ya Habari |
Kutokana na Kukosekana kwa Khilafah Hasara ambayo Wanawake Wamekumbwa Nayo ni Kubwa na Mbaya Muslimah Ash-Shami (Umm Suhaib) |
Khilafah na Mfumo wa Ulimwengu Afzal Qamar – Pakistan |
- Angalizi la Vyombo vya Habari -