Jumatatu, 27 Rajab 1446 | 2025/01/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Indonesia:

Amali kubwa kwa Mnasaba wa Kupita Mwaka Mmoja wa Mauaji ya Halaiki mjini Gaza!

Kwa mnasaba wa kupita mwaka mmoja wa mauaji ya kikatili yanayoendelea (mauaji ya halaiki) yanayofanywa na umbile nyakuzi la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamepelekea kuuawa shahidi na kujeruhiwa Waislamu zaidi ya 150,000 wanaume na wanawake hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Indonesia iliandaa amali kubwa katika mji mkuu wa Indonesia, Jakarta, na katika mji mkubwa wa pili nchini Indonesia wa Surabaya, ambapo maelfu ya Waislamu walikusanyika na kutaka kuhamasishwa kwa majeshi ya Waislamu ili kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na uchafu wa Mayahudi wauaji wahalifu, pia walithibitisha kwamba kusimamishwa kwa dola ya Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume ina uwezo wa kuzikomboa nchi zote za Kiislamu kutoka kwa ushawishi wa wakoloni makafiri katika maumbo yake mbalimbali.

Ijumaa, 08 Rabi’ ul-Akhir 1446 H sawia na 11 Oktoba 2024 M

- Sehemu ya Amali katika Mji Mkuu Jakarta -

- Sehemu ya Amali katika Mji wa Surabaya -

- Picha za Amali Kubwa -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa maelezo zaidi zuru mitandao ya Hizb ut Tahrir / Indonesia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Indonesia

Ukurasa wa Instagram wa Hizb ut Tahrir / Indonesia

Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Indonesia

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu