Alhamisi, 09 Shawwal 1445 | 2024/04/18
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Jordan:

Amali Zilizo Andaliwa kipindi cha Kampeni ya Kulimwengu,

“Ukombozi wa Konstantinopoli Bishara Njema Ikatimia …Inafuatiwa na Bishara Njema Nyingine”

Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ili zindua kampeni pana ya kiulimwengu kuadhimisha tukio Adhimu la Hijria la Ukombozi wa Konstantinopoli (mji wa Heraclius) ambao ulizungukwa kuanzia mnamo 26 Rabii’ al-Awwal mpaka 20 Jumada al-Awwal 857 H sawia na 5 Aprili mpaka 29 Mei 1453 M na hivyo bishara njema ya Hadith tukufu ya Nabii (saw) ikatimia:

«لَتُفْتَحَنَّ الْقُسْطَنْطِينِيَّةُ فَلَنِعْمَ الْأَمِيرُ أَمِيرُهَا وَلَنِعْمَ الْجَيْشُ ذَلِكَ الْجَيْشُ»

Mtaifungua Konstantinopoli, Amiri wake ni Amiri bora, na jeshi lake litakuwa jeshi bora.”

Hizb ut Tahrir / Wilayah Jordan ilitoa mchango wake katika kampeni hii ya kiulimwengu. Sifa zote zinastahiki Mwenyezi Mungu (swt).

Ijumaa, 15 Jumada al-Awwal 1441 H - 10 Januari, 2020 M

Mada ikiwasilishwa na Ustad. h Bilal al Qasrawi (Abu Emad) -
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir/ Wilayah Jordan

Katika Kuadhimisha Ukombozi wa Konstantinopoli Bishara Njema Ikatimia …Inafuatiwa na Bishara Njema Nyingine

 Jumatano, 20 Jumada al-Awwal 1441 H - 15 Januari 2020 M

Mada ikiwasilishwa na Ustadh Marwan Obeid -
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir/ Wilayah Jordan

Katika Kuadhimisha Ukombozi wa Konstantinopoli Bishara Njema Ikatimia …Inafuatiwa na Bishara Njema Nyingine

 Jumatano, 20 Jumada al-Awwal 1441 H - 15 Januari 2020 M

Mada ikiwasilishwa na Sheikh Saeed Radwan (Abu Emad)

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir/ Wilayah Jordan

Katika Kuadhimisha Ukombozi wa Konstantinopoli Bishara Njema Ikatimia …Inafuatiwa na Bishara Njema Nyingine

 Jumapili, 17 Jumada al-Awwal 1441H - 12 Januari 2020 M

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumatano, 26 Februari 2020 07:35

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu