Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon: Msafara wa Takbir, Tahlil na Tahmid kwa Mnasaba wa Siku Kumi za Dhu al-Hijjah 1444 H
- Imepeperushwa katika Lebanon
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon iliandaa msafara wa Takbir, Tahlil na Tahmid katika mji wa Tripoli Ash-Sham kwa mnasaba wa kuingia siku kumi za Dhu al-Hijjah 1444 H.