Ijumaa, 11 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/13
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon:

Kongamano “Khilafah ndio Mkombozi wa Nchi na Mtetezi wa Waja”

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 100 M (103 H) ya kuvunjwa Dola ya Kiislamu (Khilafah) na chini ya giza la uvamizi na mauaji ya halaiki yanayoendelea dhidi ya watu wetu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina), Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon ilifanya kongamano lenye kichwa:

“Khilafah ndio Mkombozi wa Nchi na Mtetezi wa Waja”

Hili litafanyika saa tano kamili asubuhi kwa saa za wilayah ya Lebanon (saa sita adhuhuri kwa saa za Madina) katika ukumbi wa mikutano katika jengo la Jumuiya ya Utamaduni jijini Tripoli, Ash-Sham.

Jumapili, 22 Sha’aban 1445 H sawia na 03 Machi 2024 M

- Matangazo ya Moja kwa Moja ya Kongamano -

Kusoma Taarifa kwa Vyombo vya Habari iliyotolewa na

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Lebanon

kwa Kichwa:

Kongamano la Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Lebanon

“Khilafah ndio Mkombozi wa Nchi na Mtetezi wa Waja”

Jumatatu, 23 Sha’aban 1445 H sawia na 04 Machi 2024 M

Bonyeza hapa

- Video ya Ualishi -

- Video za Amali ya Kongamano -

[Kisomo cha Kupendeza cha Quran Tukufu]

Ikisomwa na Sheikh Khaled Seif 

Kalima ya ufunguzi wa kongamano

“Khilafah ndio Mkombozi wa Nchi na Mtetezi wa Waja”

Ilitolewa na Dkt. Muhammad Jaber

Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir/Wilayat Lebanon

[Khilafah na Bait ul-Maqdis]

Ustadh Mashuhuri Ahmed Al-Qasas

[Umma leo Umefikia Wapi?]

Mhandisi Salah Eddine Adada (Abu Muhammad)

Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Video iliyotayarishwa na Chaneli ya Al-Waqiyah yenye kichwa

"Eee, Uislamu!"

[Khilafah ni Mtetezi, hii ndiyo njia ya Ukombozi wa Palestina]

Ustadh Ahmed Al-Sufi (Abu Nizar Al-Shami)

[Taarifa ya Kuhitimisha Kongamano]

Ilitolewa na Sheikh Dkt. Muhammad Ibrahim

Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir - Wilayah Lebanon

Sehemu za Kongamano “Khilafah, ndio Mkombozi wa Nchi na Mtetezi wa Waja”

Mahojiano pembezoni mwa kongamano la “Khilafah, ndio Mkombozi wa Nchi na Mtetezi wa Waja”

- Picha za Amali ya Kongamano -

- Alama Ishara za Kampeni na Kongamano la Kila Mwaka - 

#أقيموا_الخلافة

#ReturnTheKhilafah

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa Mengi Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon:

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu