Jumapili, 05 Shawwal 1445 | 2024/04/14
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir/ Malaysia: Wito kwa Majeshi ya Waislamu na Wanazuoni wa Waislamu!

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yalisababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa wanaume na wanawake wa Kiislamu zaidi ya 30,000. Hizb ut Tahrir / Malaysia aliandaa kisimamo mbele ya Msikiti wa Raja Hajj kwa ajili ya Mwenyezi Mungu (swt) katika eneo la Cyberjaya, ambapo Ustadh Abdul Hakim Othman, Msemaji wa Hizb ut Tahrir / Malaysia, alitaka uhamasishwaji wa jeshi kubwa hadi kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu, kuanzia mto wake hadi bahari yake, iwe huru kutokana na makucha ya wanyakuzi wauaji.

Ijumaa, 05 Rabi’ Al-Akhir 1445 H sawia na 20 Oktoba 2023 M

- Video ya Kisimamo na Wito -

- Picha za Kisimamo na Wito -

 

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo Zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Malaysia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Malaysia

Facebook: Hizb ut Tahrir / Malaysia

Instagram: Hizb ut Tahrir / Malaysia

Telegram: Hizb ut Tahrir / Malaysia

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu