Wilayah ya Pakistan: Kampeni "Tunakataa Suluhisho la Dola Mbili katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)"
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Pakistan inaandaa kampeni kubwa kwenye mitandao ya kijamii, kuhusu msimamo wa khiyana wa viongozi wa Waislamu katika upande wa umbile vamizi la Kiyahudi.



