Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan:

Mwanajeshi Halisi!

Hivi kuna uwezekano wakuishi maisha bora ya kiuwanajeshi zaidi ya yale aliyoishi Sa’ad ibn Mu’adh (ra) ambaye alitoa Nusra ya kusimamisha Uislamu kama serikali na kisha akawang'oa maadui katika vita vya Badr?

Inawezekanaje, wakati Mwenyezi Mungu (swt) alituma malaika kwenye mazishi ya Sa’ad ibn Mu’adh (ra)?

Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) amesema kuhusu mazishi ya Sa’ad ibn Mu’adh (ra),

«إِنَّ الْمَلَائِكَةَ كَانَتْ تَحْمِلُهُ»

 “Hakika, alikuwa anabebwa Malaika.” [Imepokewa na Tirmidhi]

Inawezekanaje, wakati Arshi tukufu ya Mwenyezi Mungu (swt) ilitetemeka kwa furaha ya kuipokea roho ya Sa’ad ibn Mu’adh (ra)?

Pindi alipofariki Sa’ad ibn Mu’adh (ra), mama yake alilia sana na kisha Mtume (saw) akamwambia;

»لِيَرْقَأْ - لينقطع - دَمْعُكِ وَيَذْهَبْ حُزْنُكِ لِأَنَّ ابْنَكِ أَوَّلُ مَنْ ضَحِكَ اللَّهُ إِلَيْهِ وَاهْتَزَّ لَهُ الْعَرْشُ«

“Machozi yako yatakauka na huzuni zako zitakwisha iwapo utafahamu kwamba mwanao ni mtu wa kwanza ambaye Mwenyezi Mungu (swt) alimchekea na Arshi ikatikisika kwake.” [At-Tabarani]

Enyi Wanajeshi wa Pakistan!

Je, mnatamani radhi za Mwenyezi Mungu (swt) na hadhi kama ya Sa’ad (ra)?

Jitokezeni kuisimamisha Dini ya Mwenyezi Mungu (swt) na itoeni Nusra kwa mikono yenu kama ilivyokuwa mikono ya Sa’ad (ra).

(وَمَا لَكُمْ لاَ تُقَاتِلُونَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ وَالْمُسْتَضْعَفِينَ مِنْ الرِّجَالِ وَالنِّسَاءِ وَالْوِلْدَانِ الَّذِينَ يَقُولُونَ رَبَّنَا أَخْرِجْنَا مِنْ هَذِهِ الْقَرْيَةِ الظَّالِمِ أَهْلُهَا وَاجْعَل لَنَا مِنْ لَدُنْكَ وَلِيًّا وَاجْعَل لَنَا مِنْ لَدُنْكَ نَصِيرًا)

Na mna nini msipigane katika Njia ya Mwenyezi Mungu na ya wale wanaoonewa, wanaume na wanawake na watoto, ambao husema: Mola Mlezi wetu! Tutoe katika mji huu ambao watu wake ni madhalimu, na tujaalie tuwe na mlinzi anaye toka kwako, na tujaalie tuwe na wakutunusuru anaye toka kwako. [An-nisaa 4:75]

Jumamosi, Ramadhan Mubarak 12, 1442H – 24 April, 2021M

#Nussrah4Khilafah

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu