Alhamisi, 16 Rajab 1446 | 2025/01/16
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Wilayah ya Pakistan: Kampeni "Tunakataa Suluhisho la Dola Mbili katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)"

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Pakistan inaandaa kampeni kubwa kwenye mitandao ya kijamii, kuhusu msimamo wa khiyana wa viongozi wa Waislamu katika upande wa umbile vamizi la Kiyahudi. Kampeni hiyo inalingania kukataliwa kwa suluhisho la dola mbili kwa msingi wa mipaka ya kabla ya 1967. Kama ambavyo pia inalingania kuhamasika mara moja kwa majeshi ya Waislamu katika ulimwengu wa Kiislamu ili kuikomboa Ardhi yote Iliyobarikiwa (Palestina) kutoka kwa uvamizi wa Mayahudi.

Ewe Mwenyezi Mungu turudishie ngao yetu, Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume... Allahumma Amin.

#KhilafahLiberatesPalestine

#KhilafahItakomboaPalestina

Ijumaa, 15 Safar Al-Khair 1442 H sawia na 02 Oktoba 2020 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu