Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan:

Kunyenyekeza Kiuchumi ni Ala ya Kikoloni Kupata Udhibiti wa Kisiasa katika Ardhi za Waislamu!

Watawala wa Pakistan wanaendelea kuukumbatia ulazimishaji wa kiuchumi kuliko masuala ya heshima ya Mtume (saw), Kashmir Iliyokaliwa na kulinda ushawishi wa Marekani nchini Afghanistan.

Hata hivyo wao ndio wanaoifunga Pakistan kwa IMF na Benki ya Dunia, ambazo zote ni taasisi zinazotumiwa na Marekani kudhibiti sera za uchumi na pesa za dola mbalimbali duniani.

IMF inadumisha utawala wa dolari kwa kuzipa usaidizi nchi zilizo na upungufu wa dolari, huku Benki ya Dunia ikijificha nyuma ya mgongo wa “maendeleo”, ili kuhakikisha mtiririko endelevu wa dolari, na kuendeleza utawala wa wakoloni.

Ni Khilafah pekee ndiyo itakayounganisha majeshi na rasilimali nyingi za Ardhi za Waislamu kwa maslahi ya Ummah wa Kiislamu na Uislamu.

Na Khilafah kwa Njia ya Utume ita chomoa upanga wake, kama alivyofanya Sultan Abdul Hameed II, kunyamazisha sauti zote za uovu.

Jumatano, 16 Ramadhan Mubarak, 1442 H – 28 April, 2021 M

#Time4Khilafah

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu