Jumanne, 22 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: 

Nusra ya Mwenyezi Mungu (swt) Hulifanya Jeshi la Kiislamu Kuwa Mshindi!

Majeshi ya Magharibi hupiga hesabu za vita kwa idadi vikosi vya Kiislamu vinaamini Nusra ya Mwenyezi Mungu (swt) Vikosi vya Kiislamu hutamani kufa shahidi Majeshi ya Kiislamu daima huyashinda majeshi makubwa zaidi Mwenyezi Mungu (swt) amesema,

 [كَم مِّن فِئَةٍ قَلِيلَةٍ غَلَبَتْ فِئَةً كَثِيرَةً بِإِذْنِ اللَّهِ ۗ]

“Makundi mangapi madogo yameshinda makundi makubwa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu!” [Surah Al Baqarah 2:249]

#KhilafahArmy

Jumatano, 11 Jumada al-Awwal 1443 H - 15 Disemba 2021 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu