Jumamosi, 14 Rajab 1444 | 2023/02/04
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Muuaji mmoja wa kiuchumi wa IMF abadilishwa kwa mwengine, Dkt. Murtaza Syed!

Nyuso zinabadilika lakini utumwa wa IMF unabakia.

Mtego wa madeni ya riba unaosimamiwa na IMF umemaanisha kuwa deni la Pakistan limepanda kutoka Rupia trilioni 10 mwaka 2011 hadi trilioni 40 mwaka 2022.

Zaidi ya nusu ya mapato ya kodi ya Pakistan sasa yanatumika kulipa riba.

IMF itaiweka Pakistan kama kitega uchumi kwa wale wanaowekeza katika deni la Ulimwengu wa Tatu.

Khilafah pekee ndiyo itakayomaliza utumwa wa kiuchumi.

Itakomesha riba na malipo ya riba kutoka wakati wa kuwasili kwake.

Badilisheni mfumo sio nyuso pekee.

#RejectDemocracyEstablishKhilafah

Jumanne, 10 Shawwal 1443 H - 10 Mei 2022 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu