Ijumaa, 13 Muharram 1446 | 2024/07/19
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Kutaka Kuhamasishwa Majeshi ili Kuinisuru Gaza Kutaendelea licha ya Ukamataji Mashababu wa Hizb ut Tahrir!

Watawala wa Pakistan wanawatia mbaroni miongoni mwa safu za Hizb ut Tahrir/Wilayah Pakistan ili kuizuia Hizb kutaka kuhamasishwa jeshi la Pakistan kuinusuru Gaza. Lakini Umma mzima unatoa wito kwa majeshi yake kupigana jihad ili kufikia moja kati ya mema mawili ili kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, basi ukamataji huo utawazuia vipi watu wake?! Ulinganizi wa kuhamasisha jeshi umefika kila barabara na hauwezi kukandamizwa. Badala ya kulishambulia umbile la Kiyahudi, watawala wanawatesa Waislamu wanaoyalingania majeshi ya Kiislamu kufanya jihad katika njia ya Mwenyezi Mungu. Watawala hawa wanawarahisishia Mayahudi wa Kizayuni na Marekani vita vyao dhidi ya Waislamu wa Gaza. Majeshi ni lazima yawaondoe watawala hawa wasaliti na kusimamisha Khilafah Rashida ambayo itawahamasisha vizazi vya Saladin kuikomboa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina).

#خلافت_نیا_عالمی_آرڈر

#Khilafah_New_World_Order

Imetolewa na Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan

Jumamosi, 09 Dhu al Hijjah 1445 H sawia na 15 Juni 2024 M

Ili kusoma taarifa kamili kwa vyombo vya habari: Bonyeza Hapa

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu