Alhamisi, 03 Dhu al-Qi'dah 1446 | 2025/05/01
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Enyi Wanazuoni wa Kiislamu! Wachocheeni Maafisa wa Jeshi Kupindua Uongozi wa Kijeshi, Vibaraka wa ukoloni!

Mnamo tarehe 11 Aprili 2025, Mufti Muhammad Taqi Usmani, jaji wa zamani wa Mahakama ya Shirikisho la Sharia, alisema kwamba jihad dhidi ya “Israel” ni faradhi kwa serikali zote za Waislamu. Hata hivyo, licha ya kutangaza kuwa ni wajibu, uongozi wa kijeshi haukukusanya vikosi vya kijeshi kuinusuru Gaza. Enyi wanazuoni wa Kiislamu! Mliongoza jihad dhidi ya ukoloni wa Waingereza. Mlichochea maafisa kupindua uongozi wa kijeshi wa kikoloni, na mulifanya kazi kuleta uongozi wa kisiasa wa Kiislamu, mukiwakilishwa na Bahadur Shah Zafar, madarakani. Kwa hivyo tokeni katika vyuo vyenu na muuongoza Umma kuelekea ukombozi kutokana na ukoloni wa Amerika. Wachocheeni maafisa kupindua uongozi wa kijeshi ambao ni kibaraka wa ukoloni wa Marekani. Fanyeni kazi kuleta uongozi wa kisiasa wa Kiislamu, unaowakilishwa na Hizb ut Tahrir, madarakani.

#Time4Khilafah

Mjumbe wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia

Jumapili, 15 Shawwal 1446 H, sawia na 13 Aprili 2025 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu