- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Tunahitaji Jeshi la Waislamu Kuinusuru Gaza, sio “Mbwa Mwitu walio Pweke”!
Video ya afisa mmoja kijana wa jeshi wa Pakistan akitaka kwenda Gaza imesambaa, na wakati huo huo, video nyingine ya afisa sawia wa Misri imesambaa. Enyi maafisa wa majeshi ya Waislamu! Ikiwa hamuwezi kuleta tama la maji au tembe ya tende mjini Gaza, mutawezaje kumleta afisa aliyebeba bunduki?! Ni lazima kwanza muvunje mzingiro, kwa kuuondolea Umma vibaraka wa Washington miongoni mwa watawala wa Waislamu. Gaza inahitaji jeshi la wanajeshi, vifaru na ndege, sio “mbwa mwitu walio pweke” wenye bunduki. Gaza inahitaji hatua za pamoja, hatua za kijeshi, sio tu watu wenye nia njema pekee. Acheni kuchelewesha, mumechelewa kwa miezi kumi na nane. Waondoeni watawala, simamisheni Khilafah Rashida, na musonge kwa ajili ya kuinusuru Gaza.
#Time4Khilafah
Mjumbe wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia
Jumatatu, 16 Shawwal 1446 H, sawia na 14 Aprili 2025 M
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies
Kwa Maelezo zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Tovuti Rasmi ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Akaunti ya X: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan