Al-Waqiyah TV: Maswali kadhaa na Jibu Moja!
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Al-Waqiyah TV:
Maswali kadhaa na Jibu Moja!
Al-Waqiyah TV:
Maswali kadhaa na Jibu Moja!
Al-Waqiyah TV:
Ujumbe wa Haraka: “Enyi Majeshi… Vimalizeni Vita!”
Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa:
Viangusheni Viti vya Utawala na Muhamasishe Majeshi!
Tunamsifu Mwenyezi Mungu ambaye alijitambulisha kwenu, kwa hivyo mkajua Upweke na upekee wake katika kuamrisha, kukataza, na Tadbir (kupanga).
Hizb ut Tahrir/ Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina: Enyi Majeshi ya Ummah... Watu wa Gaza Wanakusubirini, Je, Mtaitika?
Maelfu ya watu wa Palestina walijitokeza kwa wingi katika mji wa Hebron kama wito kwa Umma,
Mujahidina madhubuti wanapigana kwenye uwanja wa vita kwa dhamira na azma, huku adui muoga akishambulia kutoka mbali kwa ndege zao na mizinga, wakiharibu nyumba, wakiwa na nia ya kuua wanawake, watoto, na vikongwe. Mnasubiri nini?
Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa: Kimbunga cha Al-Aqsa .. Ujumbe wa Haraka kwa Umma wa Kiislamu na Majeshi Yake!
Al Waqiyah TV: Risala ya Dharura, "Ndio kwa Suluhu.... Suluhu Ovu"
Baada ya uvamizi wa kikatili na usio wa haki wa kambi ya Jenin na vikosi vya jeshi la Kiyahudi, ambapo vikosi hivyo vilisababisha vifo, uharibifu na ufisadi, Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina iliandaa maandamano makubwa baridi katika miji ya Hebron, Ramallah na Qalqilya, yenye kichwa “Ushindi kwa Jenin na Kutafuta Nusrah kutoka kwa Majeshi ya Waislamu.”