Alhamisi, 19 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/21
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina):

Semina kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya 103 ya Kuvunjwa Khilafah

Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) iliandaa amali na semina kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 103 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H.

Ijumaa, 28 Rajab Tukufu 1445 H – 09 Februari 2024 M

Kongamano kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuvunjwa Khilafah

katika Msikiti wa Al-Abrar mjini Tulkarm

Kongamano kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuvunjwa Khilafah

Sheikh Jandal Salah Abu Ayoub

Katika Silat al-Harithiya/Jenin al-Qassam

Katika kumbukumbu ya miaka 103 ya kuvunjwa Khilafah

Sheikh Yusuf Shawahna (Abu Islam)

Semina kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Kuvunjwa Khilafah

Mji wa Qalqilya

[Gaza na Fardhi Iliyotoweka]

Na Ustadh Anas Qaraan

[Enyi Vijana wa Umma Wetu, Enyi Vipenzi vya Mtume wa Mwenyezi Mungu]

kwa Ustadh Abd al-Rahman al-Hajj

[Athari ya Vita vya Gaza na Kadhia ya Palestina na Mradi wa Hadhara wa Umma]

na Ustadh Adam Al-Hajj

[Enyi Umma wa Muhammad, Je Kifo cha Udhalilifu ni bora au Ushindi na Tamkini kupitia Kusimamisha Khilafah?!]

na Ustadh Muhammad Kiwan

[Kukosekana kwa Khilafah sio Ngano za Kale ambazo tuzinatoa wala sio Tukio la Kale ambalo Tunaliomboleza]

na Ustadh Alaa Abd Rabbo

#أقيموا_الخلافة

#ReturnTheKhilafah

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa maelezo zaidi, tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina):

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina

Ukurasa wa X wa Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu