Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina): "Khilafah Ndio Mwokozi Pekee wa Wanadamu."
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina inamuomboleza aliyekuwa Imam wa Msikiti wa Ibrahimi, mmoja wa wanachama wema wa Hizb ut Tahrir, Hajj Salih Abdul-Jawad Al-Razem (Abu Dhia),
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina inaomboleza, mmoja wa wanaume wa Hizb ut Tahrir, mbebaji da'wah kutoka safu zake za kizazi cha kwanza, Marehemu kwa idhini ya Mwenyezi Mungu Mtukufu:
Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina ilionya juu ya njama chafu ya kuishambulia Al-Khalil kwa kutumia mizozo ya kifamilia na kuibua taharuki kwa kuzifinika kwa kufiniko cha ukoo.
Maoni kwa Vyombo vya Habari ya Dkt. Ibrahim Al-Tamimi
Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)
Jumamosi, 9 Oktoba 2021, Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina iliandaa visimamo vitatu mjini Ramallah, Hebron na Tulkarm, ambapo ilitoa wito kusonga kwa uhalisi kwa majeshi ya Waislamu kujibu uamuzi wa uvamizi wa kuwaruhusu Wayahudi kutekeleza ibada zao katika makawanda ya Msikiti wa Aqsa Uliobarikiwa.
Jumamosi, Juni 26, 2021, Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina iliandaa maandamano mawili makubwa huku kukiwa na hasira iliyoibuka baada ya mwanaharakati wa kisiasa,
Wito kutoka nchi mbali mbali kwa majeshi ya Waislamu kufanya wajibu wao kwa Ummah wao na kwa Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa, "Enyi, Majeshi ya Waislamu: Je! Hakuna Miongoni Mwenu Muongofu?"
Maoni ya habari ya Dkt. Ibrahim Al-Tamimi Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)
Kisimamo kilichoandaliwa na Hizb ut Tahrir katika Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa baada ya kutekeleza swala na khutba ya Idd al-Fitr Al-Mubarak 1442 H kuomba nusra kwa majeshi ya Umma kwa anwani