Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina):

"Khilafah Ndio Mwokozi Pekee wa Wanadamu."

 

Katika ukurasa huu tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kichwa:

"Khilafah Ndio Mwokozi Pekee wa Wanadamu."

Katika kipindi chote cha mwezi wa Mtukufu wa Rajab wa mwaka huu wa 1443 H, kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka wa 101 H ya kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah tarehe 28 Rajab al-Muharram 1342 H.

Ijumaa, 03 Rajab Tukufu 1443 H - 04 Februari 2022 M

 Kalima ya Dkt. Ibrahim Al-Tamimi

Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Kwa mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 101 ya Kuvunjwa Khilafah kwa Anwani:

"Khilafah Ndio Mwokozi Pekee wa Wanadamu."

Jumanne,14 Rajab Tukufu 1443 H – 15 Februari 2022 M

Kalima ya Ustadh Alaa Abu Swaleh

Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 101 ya Kuvunjwa Dola ya Khilafah Kwa Anwani:

"Wito wa Kufanya Kazi ya Kusimamisha Khilafah kwa Nguvu na Kasi ya Hali ya Juu"

Alhamisi, 16 Rajab 1443 H - 17 Februari 2022 M

Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina

Ombi kutoka Al-Aqsa kwa Ummah na Majeshi Yake katika Kumbukumbu ya Miaka 101 ya Kuvunjwa kwa Khilafah

Baada ya Swala ya Ijumaa mnamo tarehe 4/3/2022, katika halaiki ya waumini, na katika kuhitimisha amali zake za kukumbuka miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah, Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina ilitoa ombi kutoka kwa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa kwa Ummah na majeshi yake, ikiwalingania kuharakisha kusimamisha Khilafah na kuwanusuru wabebaji dawah yake.

Bonyeza Hapa kwa Video na Picha

Kijitabu cha Kumbukumbu ya Miaka 101 ya Kuvunjwa Khilafah

(Wakati Umewadia wa Kudhihiri Dini Yetu na Kunyanyuliwa Bendera ya Mtume Wetu)

Kupakua Kijitabu Hicho Bonyeza Hapa

Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina

Amali kutoka Kitengo cha Wanawake Zikikumbuka Kumbukumbu ya Miaka 101 ya Kuvunjwa Khilafah

Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir / Ardhi Tukufu ya Palestina kilifanya amali anuwai, za ana kwa ana na mtandaoni, kukumbuka kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah zenye kichwa, "Ni Wakati sasa wa Kudhihiri Dini yetu na Kunyanyuliwa Bendera ya Mtume wetu".

Kwa Maelezo Zaidi Bonyeza Hapa

Video na Amali za Kitengo cha Wanawake katika Ardhi Iliyobarikiwa-Palestina kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 101 ya Kuvunjwa Khilafah

- Ombi kwa Watu Wenye Nguvu na Uwezo kutoka kwa Wanawake wa Ardhi Iliyobarikiwa-Palestina -

Jumapili, 26 Rajab 1443 H - 27 Februari 2022 M

- Risala kwa Umma wa Kiislamu kutoka Ardhi Iliyobarikiwa -

Jumamosi, 25 Rajab 1443 H - 26 Februari 2022 M

- Ni Nini kiliwatokea Waislamu baada ya Kutoweka Khilafah? -

Jumatatu, 27 Rajab 1443 H - 28 Februari 2022 M

- Kuunusuru Uislamu Haikufungika kwa Wanaume Pekee -

Jumanne, 28 Rajab 1443 H - 01 Machi 2022 M

Miaka Mia Moja na Moja bila ya Dola Yenye Kuhukumu kwa Hukmu za Mwenyezi Mungu!

Jumamosi, 02 Sha'aban 1443 H - 05 Machi 2022 M

Khilafah Pekee ndiyo Itakayowahami Wanawake wa Kiislamu!

Jumapili, 03 Sha'aban 1443 H - 06 Machi 2022 M

Mazungumzo Pamoja na Wabebaji Ulinganizi wa Kike "Uhakika wa Uchumi wa Kiulimwengu na Mwisho Wake!"

Jumatatu, 04 Sha'aban 1443 H - 07 Machi 2022 M

Kalima ya Msikitini

"Rajab ni Kumbukumbu ya Izza Kuu Basi Je, Yupo Anayekumbuka?!"

Iliyotolewa na Ustadh Abu Anas Al-Hosari

Jumatatu, 20 Rajab Tukufu - 21 Februari 2022 M

Alama Ishara za Kampeni

#أقيموا_الخلافة

#الخلافة_101

#ReturnTheKhilafah

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu