Jumanne, 22 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Msikiti wa Al-Aqsa: Amali za Ijumaa – Ramadhan Al-Mubarak 1442 H

- Ijumaa ya Kwanza -

Bait Al-Maqdis 04 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H

Sawia na 16 Aprili 2021 M

(Kalima Ambazo Zilitolewa Ndani ya Mswala wa Al-Qibli)

 

- Kalima ya Ufunguzi -

[Na kwa Ramadhan Mpya Tujadidisheni Ahadi na Mwenyezi Mungu!]

Na Ustadh Raafat Najib (Abu Muhammad)

- Kalima ya Kwanza -

[Nyinyi Mko Hoja Juu Yenu kwa Mola Wenu Maadamu Haijadhihirika Kwenu Kupotewa na Akili!]

Na Sheikh Muhammad Ayed (Abu Abdullah)

- Kalima ya Pili -

[Kukosekana Majibu ya Iran kwa Mashambulizi ya Mara kwa Mara ya Kiyahudi!!]

Na Mwanafikra wa Kisiasa Ahmad Al-Khatwani (Abu Hamza)

- Kipindi cha Majibu ya Maswali -

- Ijumaa ya Pili -

Bait Al-Maqdis 11 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H

Sawia na 23 Aprili 2021 M

(Kalima Ambazo Zilitolewa Ndani ya Mswala wa Al-Qibli)

 

- Kalima ya Ufunguzi -

[Hima Kurudisha Utukufu Wetu Uliopotea!]

Na Ustadh Abu Mahdi Baydoon

- Kalima ya Kwanza -

[Dola ya Khilafah Haibagui katika Usimamizi baina ya Raia wake!]

Na Mwadhama Sheikh Said Al-Karmi (Abu Abdulrahman)

- Kalima ya Pili -

[Kikali Zaidi Alichokutana Nacho Mtume (saw) Kutoka kwa Makafiri katika Njia Yake ya Kutafuta Nusra!]

Na Ustadh Abu Mus'ab Zyoud

- Kalima ya Tatu -

[Umuhimu wa Kuyajua Yaliyo Nyuma ya Siasa katika Uchambuzi wa Matukio!]

Na Mwanafikra wa Kisiasa Ahman Al-Khatawani (Abu Hamza)

- Kipindi cha Majibu ya Maswali -

- Ijumaa ya Tatu -

Bait Al-Maqdis 18 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H

Sawia na 30 Aprili 2021 M

(Kalima Ambazo Zilitolewa Ndani ya Mswala wa Al-Qibli)

 

- Kalima ya Ufunguzi -

[Amesema Kweli Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na Amefeli na Kuhasirika Abu Jahl!]

Na Ustadh Ahmad Al-Duweik

- Kalima ya Kwanza -

[Maadili Makuu ya Vita vya Badr ni Quran Yenye Kusomwa!]

Na Mwadhama Sheikh Said Al-Karmi (Abu Abdulrahman)

- Kalima ya Pili -

[Katika Mwezi wa Rehma, Sisi Hatazami Udugu wala Ahadi katika Muumini!]

Na Sheikh Muhammad Ayeb (Abu Abdullah)

- Kalima ya Tatu -

[Mzaha wa Uchaguzi wa Palestina!]

Na Mwanafikra wa Kisiasa Ahmad Khatawani (Abu Hamza)

- Kipindi cha Majibu ya Maswali -

- Ijumaa ya Nne na ya Mwisho -

Bait Al-Maqdis 25 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H

Sawia na 07 Mei 2021 M

(Kalima Ambazo Zilitolewa Ndani ya Mswala wa Al-Qibli)

 

- Kalima ya Ufunguzi -

[Watawala wana kisasi na Misikiti!]

Na Sheikh Nadal Swiyam (Abu Ibrahim)

- Kalima ya Kwanza -

[Tunu za Ain Jalut Zilitunukiwa katika Ramadhan!]

Na Ustadh Abu Hanifa Ash-Shami

- Kalima ya Pili -

[إِنَّ الَّذِينَ يُحَادُّونَ اللَّهَ وَرَسُولَهُ كُبِتُوا كَمَا كُبِتَ الَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ]

"Hakika wanao pinzana na Mwenyezi Mungu na Mtume wake, watadhalilishwa kama walivyo dhalilishwa wale walio kuwa kabla yao." [Mujaadalah: 5]

Na Sheikh Muhammad Ayed (Abu Abdallah)

- Kalima ya Tatu -

[Amerika Inaondoka Kutoka Afghanistan kwa Udhalilifu!]

Na Mwanafikra wa Kisiasa Ahmad Khatawani (Abu Hamza)

- Kipindi cha Majibu ya Maswali -

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu