Jumamosi, 11 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/14
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Ardhi Iliyo Barikiwa: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir amezindua kampeni pana ya kiulimwenguni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja Hijria ya kuvunjwa kwa Khilafah, 28 Rajab al-Muharram 1442 H / 2021 M, na katika ukurasa huu, tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Ardhi Iliyo Barikiwa (Palestina) ndani ya wigo wa kampeni ya kiulimwengu iliyozinduliwa na Hizb.

- Katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa kwa Khilafah dondoo kutoka kwa Hotuba ya Ijumaa -

Na Dkt. Mus'ab Abu Arqub

Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Ijumaa, 30 Jumada Al-Akhirah 1442 H sawia na 12 Februari 2021 M

 

Ummah ni kama Ibrahim Unatiwa Motoni na Huku Ukijisalimisha

Kamwe Haujaridhika baada ya Miaka 100 ya Ukoloni

Isipokuwa kwa Khilafah Rashida kwa njia ya Utume!

Dola Ovu ambazo Zimetutawala kwa Miaka 100

Kwa Ukoloni ni Lazima Zing'olewa na Khilafah Isimamishwe juu ya Magofu Yake!

- Kuhamasisha Hamu ya Walimu na Wanafunzi -

Kalima ya Kipote cha Ufahamu / Muundo wa Wanafunzi wa Mashababu wa Hizb ut-Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa

Kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah 1342 H - 1442 H

Jumatano, 12 Rajab 1442 H sawia na 24 Februari 2021 M

- Ubandikaji Vibandiko vya Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah katika Ukanda wa Gaza -

Jumatano, 12 Rajab 1442 H sawia na 24 Februari 2021 M

 - Kalima za Misikitini kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah -

[Kalima ya Msikitini]

- Bishara Njema za Khilafah -

Iliyotolewa na Ustadh Nabil Hasayen (Abu Uthman)

Jumatatu, 17 Rajab 1442 H sawia na 01 Machi 2021 M

[Kalima ya Msikitini]

- Magharibi Ilipanda Mbegu ya Ukabila na Uzalendo Baina ya Waislamu ili Kuwashughulisha Kutokana na Khilafah -

Iliyotolewa na Ustadh Abdulrehman Sheikh Hamed

Jumatatu, 17 Rajab 1442 H sawia na 01 Machi 2021 M

[Kalima ya Msikitini]

- Nyasi Zilizovunjwa Mgongo wa Ngamia -

Iliyotolewa na Dkt Muhammad Afeef Shadeed

Jumanne, 25 Rajab 1442 H sawia na 09 Machi 2021 M

[Kalima ya Msikitini]

- Khilafah Ijayo kwa Njia ya Utume, Basi Isimamisheni Enyi Waislamu -

Iliyotolewa na Dkt Mus'ab Abu Arqoub

Jumanne, 25 Rajab 1442 H sawia na 09 Machi 2021 M

[Kalima ya Msikitini]

- Bishara za Mtume katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Dola ya Kiislamu -

Iliyotolewa na Sheikh Yusuf Abu Islam

Jumanne, 25 Rajab 1442 H sawia na 09 Machi 2021 M

[Kalima ya Msikitini]

- Khilafah ni Mti Mzuri -

Iliyotolewa na Ustadh Burhan Samaan (Abu Amir)

Jumanne, 25 Rajab 1442 H sawia na 09 Machi 2021 M

[Kalima ya Msikitini]

- Izza ya Umma Haitarudi Isipokuwa kwa Khilafah -

Iliyotolewa na Sheikh Waleed Abed

Jumanne, 25 Rajab 1442 H sawia na 09 Machi 2021 M

- Video za Amali za Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyo Barikiwa (Palestina) -

Hasara na Hali ya Waislamu kwa Kukosekana Khilafah!

Jumatatu, 03 Rajab 1442 H sawia na 15 Februari 2021 M

Ufisadi katika Nyanja ya Kiuchumi na Kijamii!

Jumanne, 04 Rajab 1442 H sawia na 16 Februari 2021 M

- Kikao cha Majadiliano kwa Mnasaba wa Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah! -

Alhamisi, 06 Rajab 1442 H sawia na 18 Februari 2021 M

Wito kwa Ummah!

Alhamisi, 06 Rajab 1442 H sawia na 18 Februari 2021 M

Kilio cha Msichana wa Kiislamu!

Ijumaa, 07 Rajab 1442 H sawia na 19 Februari 2021 M

- Ujumbe kutoka kwa Wanawake wa Khilafah: "Isimamisheni Enyi Waislamu!" -

Ijumaa, 07 Rajab 1442 H sawia na 19 Februari 2021 M

- Je, Dola ya Khilafah Itakuwaje? -

Kalima kutoka kwa kitengo cha wanawake cha Hizb ut-Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) ndani ya wigo wa kampeni ya kiulimwengu iliyoandaliwa na Hizb ut-Tahrir kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Khilafah, dada alizungumza ndani yake mazuri na faida za Dola ijayo ya Khilafah, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu.

Jumapili, 16 Rajab 1442 H sawia na 28 Februari 2021 M

- Chama Chenye Kuondoa Dhimma -

Kalima kutoka kwa kitengo cha wanawake cha Hizb ut-Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) ndani ya wigo wa kampeni ya kiulimwengu iliyoandaliwa na Hizb ut-Tahrir kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Khilafah, dada alizungumza ndani yake kuhusu Hizb ut Tahrir, lengo lake, njia yake, na kwamba Hizb imeondoa dhimma kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, na ualishi wa kujiunga na Hizb.

Jumanne, 18 Rajab 1442 H sawia na 02 Machi 2021 M

- Kalima kwa Umma -

Kalima kutoka kwa kitengo cha wanawake cha Hizb ut-Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) ndani ya wigo wa kampeni ya kiulimwengu iliyoandaliwa na Hizb ut-Tahrir kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Khilafah, alihutubia ndani yake mmoja wa kina mama wa Umma huu na majeshi kujiunga kufanya kazi pamoja na Hizb ut-Tahrir ili kuregesha Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume.

Jumatano, 19 Rajab 1442 H sawia na 03 Machi 2021 M

- Hatua ya Kuunda Dola -

Kikao cha majadiliano katika amali za kitengo cha wanawake cha Hizb ut-Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) ndani ya wigo wa kampeni ya kiulimwengu iliyoandaliwa na Hizb ut-Tahrir kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Khilafah, kina dada walizungumza ndani yake hatua ya kuunda dola na fikra ambayo dola inasimama juu yake, na namna ya mageuzi sahihi, na njia ya Mtume (saw) ya kubeba ulinganizi, na ambayo Hizb ut Tahrir imeitabanni ili kuanzisha tena maisha kamili ya Kiislamu. 

Jumatatu, 17 Rajab 1442 H sawia na 01 Machi 2021 M

- Je, Khilafah Kwangu Yamaanisha Nini? -

Kura ya maoni kutoka kitengo cha wanawake cha Hizb ut-Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) ndani wigo wa kampeni ya kiulimwengu iliyoandaliwa na Hizb ut-Tahrir kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Khilafah, kina dada walizungumza ndani yake juu ya maana ya Khilafah kwao.

Alhamisi, 20 Rajab 1442 H sawia na 04 Machi 2021 M

- Kikao cha Majadiliano -

Kikao cha mazungumzo ndani ya amali za kitengo cha wanawake cha Hizb ut-Tahrir katika Ardhi iliyobarikiwa (Palestina) kama sehemu ya kampeni ya kiulimwengu iliyoandaliwa na Hizb ut-Tahrir kwa mnasaba wa karne moja ya kuvunjwa kwa Khilafah. Kina dada walizungumza juu ya dalili za kisheria za uwajibu wa Khilafah, na juu ya sunnah za Mwenyezi Mungu katika ulimwengu, na kheri ya Umma wa Kiislamu na uwezo wake wa kutawala ... na kwamba nusra inatoka kwa Mwenyezi Mungu.

Jumapili, 23 Rajab 1442 H sawia na 07 Machi 2021 M

- Ujumbe wa Bishara Njema kwa Umma wa Kiislamu -

Ujumbe kutoka kwa kitengo cha wanawake cha Hizb ut-Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) ndani ya wigo wa kampeni ya kiulimwengu iliyoandaliwa na Hizb ut-Tahrir kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Khilafah ambapo dada alizungumza ndani ya kwamba dola ya Kiislamu khalifa anayetabikisha sheria ya Mwenyexi Mungu (swt), na kwamba kurudi kwa Khilafah kuna uhakika wa kisheria, kihistoria na wa kisiasa, na bishara njema kwa Waislamu na wale wanaofuata njia ya Mtume (saw).

Jumatatu, 24 Rajab 1442 H sawia na 08 Machi 2021 M

- Vipengele vya Nusra -

Video kutoka kitengo cha wanawake cha Hizb ut-Tahrir katika Ardhi iliyobarikiwa (Palestina) kama sehemu ya kampeni ya kiulimwengu iliyoandaliwa na Hizb ut-Tahrir kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Khilafah, inayoshughulikia vipengele vitatu vya nusra, na kwamba kazi ya kuhukumu sheria ya Mwenyezi Mungu katika chama kinachojulikana kwa  Umma na nchi za Kiislamu ni nzuri kwa utawala wa Uislamu na dhurufu za kimataifa zinaongezeka kutishia kushindwa kwa Makafiri.

Jumatano, 26 Rajab 1442 H sawia na 10 Machi 2021 M

- Mawazo katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah: Je! Hatukuwa? -

Jumamosi, 08 Rajab 1442 H sawia na 20 Februari 2021 M

- Wito Kutoka kwa Mmoja wa Kina Mama wa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) -

Jumamosi, 07 Sha'aban 1442 H sawia na 20 Machi 2021 M

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة
ReturnTheKhilafah#
YenidenHilafet#
#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyo Barikiwa (Palestina)

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyo Barikiwa (Palestina)

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyo Barikiwa (Palestina)

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyo Barikiwa (Palestina)

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyo Barikiwa (Palestina)

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu