Ijumaa, 20 Rajab 1447 | 2026/01/09
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina):

Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 105 ya Kuvunjwa kwa Khilafah

Kutoka ukurasa huu, tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 105 ya kuvunjwa kwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H.

Ijumaa, 13 Rajab Tukufu 1447 H sawia na 2 Disemba 2025 M

- Kitengo cha Wanawake katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) -

[Kalima kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 105 ya Kuvunjwa kwa Khilafah!]

Kwa mnasaba wa ujio wa kumbukumbu ya miaka 105 uchungu ya kuvunjwa na wasaliti wa Kiarabu na Kituruki kwa dola ya Kiislamu iliyosimamishwa na Mtume Muhammad (saw) na Maswahaba zake watukufu (ra), na kukomeshwa kwa mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H, sawia na 3 Machi 1924 M, Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kinawasilisha msururu wa kalima ili kuhamasisha Ummah wa Kiislamu kufanya kazi kwa bidii na kwa dhati pamoja na Hizb ut Tahrir ili kuiregesha, kama Mtume wetu Muhammad (saw) alivyotabiri: “Khilafah Rashida kwa njia ya Utume.”

Katika kumbukumbu ya miaka 105 ya Kuvunjwa kwa Khilafah

Tunatoa wito kwa azimio letu, kheri ni kwa wale walioitikia wito!

Ijumaa, 13 Rajab 1447 H, sawia na 2 Disemba 2025 M

Kuvunjwa kwa Khilafah kulikuwa mojawapo ya misiba mikubwa zaidi, na huu ni ujumbe kutoka Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)... Je, kutochukua hatua kutaendelea kwa muda mrefu? Au je, bishara njema ya Mtume (saw), ya kukombolewa kwa Roma inakaribia? Uwanja uko wazi kwa yeyote anayetaka kuacha alama yake katika historia ya izza ijayo ...

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة

#في_ذكرى_هدم_الخلافة

#ReturnTheKhilafah

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Ili kupata maelezo zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina):

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina):

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina):

Chaneli ya YouTube ya Wito kutoka Bait al-Maqdis

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu