Jumatano, 13 Dhu al-Hijjah 1445 | 2024/06/19
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir/ Wilaya ya Sudan: Hotuba ya Kisiasa kwa Anwani, “Katiba ya Dola ya Khilafah Ijayo”

Hizb ut Tahrir/ Wilaya Sudan imefanya hotuba ya kila wiki katika mji wa Gedaref siku ya Alhamisi, Novemba 21, 2019 kwa anwani, “Katiba ya Dola ya Khilafah Ijayo”. Wazungumzaji walikuwa ni pamoja na Mhandisi, Bashir Ahmad Bashir na Ustaadh Maysara Yahya Muhammad Noor wakielezea masuala kama vile katiba zilizopo katika nchi za Waislamu kwa sasa na ufisidifu wake.

Maingiliano yalikuwa mazuri na baadhi waliuliza kuhusu katiba kutekelezwa kwa wasiokuwa Waislamu ambapo pia, wengine waliuliza Khilafah iko wapi hivi sasa?

Mjumbe wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilaya Sudan

Mkusanyiko wa Picha

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu