Jumatano, 11 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/13
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Uswidi:

(وَقُلْ جَاءَ الْحَقُّ وَزَهَقَ الْبَاطِلُ)

“Na sema: Kweli imefika, na uwongo umetoweka.” [Al-Israa: 81]

Kalima kuhusu mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 35,000, wanaume na wanawake hadi sasa, iliyoandaliwa na kuwasilishwa na Ustadh Dawoud Carlson, mwanachama wa Hizb ut Tahrir nchini Uswidi, ya kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na wito kwa Waislamu wote kuungana chini ya bendera ya tauhidi kwa mara nyengine tena, wakiongozwa na Khalifa mmoja Mwongofu, ambaye ataiondoa mipaka ya Sykes - Picot na kuondoa uzalendo na utaifa unaonuka uvundo ambao umeugawanya Umma na harufu yake imejaa pua.

Jumapili, 21 Rabi' Al-Akhir 1445 H sawia na 05 Novemba 2023 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Uswidi:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Sweden

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / sweden

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Sweden

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Sweden

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu