Jumamosi, 11 Rajab 1446 | 2025/01/11
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Maandamano ya Wanaharakati wa Kike (Shaabat) wa Hizb ut Tahrir “Wanawake wa al-Sham Wanalia kwa Sauti Kuu, Yuko Wapi Mu’tasim! Je, Kuna Yeyote wa Kuitikia Kilio Chao?"

Wanaharakati wa kike (Shaabat) wa Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria waliandaa maandamano katika mji wa Idlib kupinga kauli za khiyana za hivi karibuni za serikali ya Uturuki zinazotaka kuwepo na mazungumzo kati ya wanamapinduzi na utawala wa kihalifu wa Bashar al-Assad, yenye kichwa “Wanawake wa al-Sham Wanalia kwa Sauti Kuu, Yuko Wapi Mu’tasim! Je, Kuna Yeyote wa Kuitikia Kilio Chao?"

Jumapili, 23 Muharram Tukufu 1444 H - 21 Agosti 2022 M

- Kalima ya Dada Fatima Wakati wa Maandamano -

- Kalima ya Dada Khadija Wakati wa Maandamano -

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Chaneli ya Telegram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Akaunti ya Whatsapp ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu