Jumamosi, 13 Sha'aban 1445 | 2024/02/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir/ Uholanzi: Semina 

Matembezi katika Mji wa The Hague ya Kuyahamasisha Majeshi ya Waislamu Kuinusuru Gaza!

Kwa kuzingatia ushujaa ulioonyeshwa na Mujahidina katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linaloendelea, na kudumu katika kushambulia kwake Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na uzingiraji wake na ulipuaji wake mabomu ulioendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza, na mbele ya mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile hili halifu cha katika kipindi cha mwezi uliopita dhidi ya Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa na kujeruhiwa kwa wanaume na wanawake wa Kiislamu zaidi ya elfu 50 , Hizb ut Tahrir / Uholanzi iliandaa matembezi katika mji wa The Hague kuyahamasisha majeshi ya Waislamiu yaliyolala ndani ya kambi zao kutekeleza wajibu wao wa kwenda kuikomboa Ardhi iliyobarikiwa ya Palestina kikamilifu kutokana na najisi ya Mayahudi, kuwaunga mkono watu wetu huko Gaza baada ya kuthibitika, kushindwa kwa kijidola cha Kiyahudi na uoga wa jeshi lake.

Jumapili, 12 Rabi' Al-Akhir 1445 H sawia na 26 Novemba 2023 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#ArmiesToAqsa

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

Aqsa_calls_armies#

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Uholanzi:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Uholanzi

Facebook: Hizb ut Tahrir / Uholanzi

Twitter: Hizb ut Tahrir / Uholanzi

Instagram: Hizb ut Tahrir / Uholanzi

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu