Jumatano, 15 Rajab 1446 | 2025/01/15
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Uingereza: Visimamo Viwili vya Kuunusuru Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa!

Chini ya mazingira ya kambi juu ya Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kutokana na mashambulizi endelevu ya umbile la Kiyahudi dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa na kuzingirwa kwake na makombora ambayo yamekuwa yakiendelea kwa miaka 15 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut-Tahrir / Uingereza iliandaa visimamo viwili jijini London na Birmingham vya kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina). Kikundi cha wazungumzaji miongoni mwa mashababu wa Hizb ut Tahrir na maimamu kutoka jamii ya Waislamu katika visimamo hivyo viwili walitoa kalima zenye kuwakumbusha Waislamu juu ya hadhi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na kuwataka, haswa majeshi ya Ummah, kuchangamka kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina), kwa kusimami Dini ya Uislamu na kuzikomboa na waja kutoka kwa wakoloni. Mamia ya Waislamu walihudhuria visimamo hivyo viwili, ambapo walipaza sauti zao kwa takbir na tahlil, na kuwataka majeshi ya Waislamu kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina). 

Jumapili, 04 Shawwal 1442 H sawia na 16 Mei 2021 M

- Video ya Amali ya Kisimamo cha London -

- Kalima ya Ustadh Taji Mustafa -

[Kisimamo cha London]

- Kalima ya Ustadh Mazhar Khan -

[Kisimamo cha Birmingham]

الأقصى_يستصرخ_الجيوش#
#Aqsa_calls_armies
#AqsaCallsArmies
#OrdularAksaya

Kwa maelezo zaidi zuru mitandao ya Hizb ut Tahrir / Uingereza:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir Uingereza

Ukurasa Rasmi wa Facebook wa Hizb ut Tahrir Uingereza

Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Hizb ut Tahrir Uingereza

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir Uingereza

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu