Jumapili, 26 Rajab 1446 | 2025/01/26
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir/ Uingereza: Kufaidika kutokana na Ufukara!

Uingereza inashuhudia kupanda kwa kasi kwa gharama ya bidhaa za kila siku, na kusababisha ugumu mkubwa zaidi kwa maskini na wanaoishi katika mazingira magumu. Hii hutokea kwa sababu mfumo unaweka ushibishaji wa ulafi na faida katika kiwango sawa na mahitaji ya kimsingi. Jamal Harwood anaelezea gharama ya binadamu ya machaguo haya na jinsi Uislamu unavyowasilisha mbadala wa kweli. Ungana nasi mnamo Jumamosi tarehe 8 Januari saa 8 mchana ili kujadili zaidi...

Jumamosi, 28 Jumadal Awwal 1443 H - 01 Januari 2022 M

#WinterOfDiscontent
#TimeForIslam
#TimeForKhilafah
#HizbBritain

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumatano, 05 Januari 2022 15:25

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu