Jumapili, 26 Rajab 1446 | 2025/01/26
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Crimea:

Amali Zilizo Andaliwa Wakati wa Kampeni ya Kiulimwengu, “Ukombozi wa Kostantinopoli Bishara njema ikatimia…ikifuatiwa na Bishara Njema Nyingine”!

Chini ya muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu (swt) Amuhifadhi, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kiulimwengu kuadhimisha tukio la Kumbukumbu ya Hijria ya Ufunguzi wa KostantinopolI  (KostantinopolI, mji wa mfalme Hirakila) ambao ulizingirwa kuanzia 26 Rabii’ al-Awwal hadi 20 Jumadal al-Awwal 857 H ambayo ni sawia na 5 Aprili hadi 29 Mei 1453 M na hivyo bishara njema ya Hadith tukufu ya Mtume (saw) ikatimia.

«لَتُفْتَحَنَّ الْقُسْطَنْطِينِيَّة ُفَلَنِعْمَ الْأَمِيرُ أَمِيرُهَا وَلَنِعْمَ الْجَيْشُ ذَلِكَ الْجَيْشُ»

Kwa yakini mtaifungua Kostantinopoli, Amir bora ni Amir wake, na Jeshi Bora ni jeshi hilo.”

Hizb ut Tahrir /Crimea iliadhimisha wakati kampeni hii ya kilimwengu. Sifa Njema zote anastahiki Mwenyezi Mungu (swt).

Ijumaa 15, Jumada al-Awal 1441 H - 10 Januari 2020 M

 

Darasa na Ustaadh Abdelraheem

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Urusi

Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Ukombozi wa Kostantinopoli

Jumatano 20, Jumaada al-Awwal 1441 H  - Januari 15, 2020 M

Kwa maelezo zaidi, tafadhali zuru tovuti za Hizb ut Tahrir / Crimea:

Ukurasa Rasmi wa Hizb ut Tahrir / Urusi
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Urusi
Akaunti ya Twitter ya Hizb ut Tahrir / Urusi

Alama Ishara za Kampeni

#فتح_القسطنطينية

#القسطنطينية

#İstanbulunFethi
#istanbul

#ConquestofIstanbul
#Constantinople

 

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoIjumaa, 10 Aprili 2020 21:14

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu