Jumapili, 22 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Halaqa ya Nne ya Mjadala Mjini Ankara Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa za mjadala zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", sanjari na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi katika mji wa Ankara.

Katika mkutano huo uliofunguliwa na Ndugu Yilmaz Şilek, Ustadh Muhammad Hanafi Yagmur (mtaalamu wa uchumi wa Kiislamu) aliwasilisha utafiti wenye mada "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi".

Baada ya uwasilishaji, kipindi cha maswali na majibu kilifanyika na maoni ya wageni yalisikilizwa juu ya suluhisho lililopendekezwa. Washiriki walitoa michango muhimu kwa maswali, na maoni yao, na ndugu Kurtulus Sevinc, Kadir Kashikci, Yilmaz Şilek na Muhammed Hanafi Yagmur wote walijibu maswali kutoka kwa wahudhuriaji.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumamosi, 02 Shaaban 1443 H sawia na 05 Machi 2022 M

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Tovuti ya Jarida la Kokludegisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu