Jumatatu, 06 Shawwal 1445 | 2024/04/15
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Kongamano la Kimataifa la Khilafah “Kuvunjwa kwa Khilafah… Janga Kuu la Karne!”

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki itaandaa kongamano la kimataifa kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 102 ya kuvunjwa Dola ya Khilafah, kwa ushiriki mpana chini ya kichwa:

“Kuvunjwa kwa Khilafah… Janga Kuu la Karne!”

Kongamano hili ambalo litahudhuriwa na wazungumzaji wengi kutoka Uturuki na nchi mbalimbali za Kiislamu, litafanyika katika ukumbi wa mikutano wa "Chombo cha Habari cha Köklü Değişim" jijini Ankara.

Tunawaalika Waislamu wote kushiriki katika kongamano hili linalolenga kukumbusha umuhimu wa Khilafah iliyovunjwa takriban karne moja iliyopita. kongamano hili pia linaweza kufuatiliwa kupitia akaunti za mawasiliano ya kielektroniki (Köklü Değişim Medya) na (Değişim TV) .

Kwa maelezo zaidi Bonyeza Hapa

Ijumaa, 11 Sha’aban 1444 H – 03 Machi 2023 M

Tazama Kongamano

- Maelezo ya Kongamano -

Mahali: Ukumbi wa Mikutano "Köklü Değişim Medya"
Mahali:  Mithatpaşa Cad. 47 / B Kızılay / ANKARA

Siku na Tarehe: Ijumaa, 03 Machi 2023 M

Wakati: Saa Mbili Usiku

- Wazungumzaji -

Ustadh Mahmoud Kar

Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Uturuki

Ustadh Abdullah Imamoglu

Mwandishi Mtaalamu wa Masuala ya Dini

Ustadh Muhammad Amin Yildirim

Mkuu wa Taasisi ya Seer

Dkt. Rakhmat Labib

Indonesia

Ustadh Adnan Khan

Wilayah Pakistan

Sheikh Yusuf Makharza (Abu Hammam)

Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Ustadh Nasser Sheikh Abdel Hay

Wilayah Syria

Ustadh Nasser Ridha

Wilayah Sudan

Ustadh Aqil Abu Osama

Denmark

Upeperusha wa Moja kwa Moja wa Kongamano kupitia

Al Waqiyah TV

https://youtube.com/live/ATvufE4aV3U

Tazama matangazo ya moja kwa moja kupitia chaneli ya

(Değişim TV)

Bonyeza Hapa

Tazama matangazo ya moja kwa moja kupitia chaneli ya

(Köklü Değişim Medya)

Bonyeza Hapa

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Tovuti ya Jarida la Kokludegisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu