Jumapili, 14 Sha'aban 1445 | 2024/02/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Uturuki:

Amali Pana za Kukinusuru na Kukiombea Nusra Kimbunga cha Al-Aqsa!

Kwa kuzingatia ushujaa ambao mujahidina mashujaa walioupata katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile nyakuzi la Kiyahudi linaloendelea na  mashambulizi yake ya Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa kila wakati, uzingiraji wake wa kuendelea wa ukanda wa Gaza tangu miaka 17, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa amali pana katika miji 10 mikuu nchini Uturuki chini ya kichwa:

"Nendeni Al-Aqsa Enyi Majeshi! Nusra kwa Kimbunga cha Al-Aqsa ... Ikiwa Sio Sasa, basi Lini?"

Kuwanusuru na kuomba nusra kwa ajili ya Waislamu katika Ardhi ya Iliyobarikiwa (Palestina) na kuyalingania majeshi ya Waislamu kuvunja vizuizi ambavyo watawala wa Ruwaibidha wameviweka katika kambi zao na kutaharaki mara moja kukinusuru (Kimbunga cha Al-Aqsa) na ukombozi wa Msikiti wa uliobarikiwa wa Al-Aqsa kutoka kwa vifungo vya Mayahudi wanyakuzi.

Kwa hivyo kuweni pamoja nasi leo na shirikini nasi katika ujira, na Mwenyezi Mungu (swt) atatunusru hata kama ni baada ya muda.

Jumapili, 23 Rabi` Al-Awwal 1445 H - 08 Oktoba 2023 M

- Sehemu ya Amali ya Ankara -

- Picha za Amali kutoka Miji Tofauti Tofauti -

- Wakati na Mahali -

◦ Adana | Ulucami

İkindi namazı sonrası

◦ Ankara | Hacı Bayram Camii

Öğle namazı sonrası

◦ Aydın | Bey Camii karşısı

İkindi namazından sonra

◦ Bitlis | Tatvan PTT önü

Saa 16:00

◦ Bursa | Ulucami Meydanı

Saa 14:00

◦ Diyarbakır | Ulucami

Öğle namazı sonrası

◦ Gaziantep | Yeşilsu Meydanı

Saa 14:00

◦ İstanbul | Fatih Camii

Öğle namazı sonrası

◦ İzmir | Konak Meydanı Saat Kulesi önü

Öğle namazından sonra

◦ Şanlıurfa | Dergâh Camii

Öğle namazı sonrası

- Alama Ishara za Amali -

#طوفان_الأقصى

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Tovuti ya Jarida la Kokludegisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu