Jumapili, 16 Ramadan 1446 | 2025/03/16
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Amali Kubwa: “Ni Nani atamzuia Trump?!”

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) ambayo yanayofanywa na umbile nyakuzi la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina), na kwa kuzingatia matakwa ya adui wa Mwenyezi Mungu, Trump, kuwahamisha Waislamu wasio na ulinzi kutoka Ukanda wa Gaza, Hizb ut Tahrir/Wilayah Uturuki inaandaa amali za halaiki kote nchini Uturuki chini ya kichwa:

“Ni Nani atamzuia Trump?!”

Kupinga mauaji ya halaiki yanayofanywa dhidi ya Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa, ambayo yanaungwa mkono na adui wa Mwenyezi Mungu, Trump, na kutekelezwa kwa mkono umbile nyakuzi la Kiyahudi, na kuwataka Waislamu waungane chini ya bendera ya Khalifa mmoja ambaye mara moja atakusanya majeshi kuwanusuru Waislamu wanaodhulumiwa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutoka kwenye makucha ya Mayahudi wauaji waovu wahalifu.

Ijumaa, 15 Sha’aban 1446 H sawia na 14 Februari 2025 M

- Angazo la Video la Amali katika Jiji la Istanbul -

- Sehemu ya Amali nyingi za Umma ambazo ziliandaliwa katika miji kadhaa ya Uturuki -

- Alama Ishara za Amali -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jarida la Koklu Degisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu