Jumamosi, 14 Shawwal 1446 | 2025/04/12
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Visimamo na Matembezi “Inatosha... Majeshi na yaelekee Al-Aqsa!”

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili ya halaiki ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi 17, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 170,000, wanaume na wanawake hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa msururu wa amali kufuatia umbile halifu la Kiyahudi kukiuka makubaliano dhaifu ya kusitisha mapigano alfajiri ya Jumanne, 18 Machi 2025, na kuanza tena kwa mauaji ya kimpangilio ya Waislamu wasio na ulinzi, ambayo hadi sasa yamegharimu maisha ya zaidi ya mashahidi 500, wengi wao wakiwa wanawake, watoto, na wazee, chini ya kichwa:

“Inatosha... Majeshi na yaelekee Al-Aqsa!”

Ambapo washiriki walitoa wito kwa majeshi ya Waislamu kusonga mara moja ili kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuusafisha Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na najisi ya Mayahudi wauaji na wahalifu.

Jumatano, 26 Ramadhan Al-Mubarak 1446 H sawia  na 26 Machi 2025 M

- Sehemu ya Amali ya Kuwanusuru Waislamu wa Gaza katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) -

- Alama Ishara za Amali -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jarida la Koklu Degisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu