Jumanne, 22 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 

Uzbekistan: Mahabusu wa Hizb ut Tahrir katika magereza ya Madhalimu wa Uzbek - 2017

Makala kwa anwani: “Nani ni Wajinga Zaidi miongoni mwa Wajinga?!” iliyotolewa na kitengo cha ubunifu na uzalishaji cha Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika maeneo yanayo zungumza lugha ya Kirusi. Inaonyesha hali halisi ya wafungwa wa Hizb ut Tahrir wenye msimamo na uvumilivu nchini Uzbekistan ambao wamefungwa gerezani kwa zaidi ya miaka 15 katika magereza ya madhalimu kwa sababu wanasema ‘Mwenyezi Mungu Ndiye Mola wangu’.

Jumamosi, 07 Shawwal 1438 H sawia na 20 Juni 2017 M

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoAlhamisi, 23 Aprili 2020 12:19

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu