Msimamo wa Hizb ut Tahrir kwa Palestina katika Kongamano Lake "Kujiweka Mbali na Khiyana Kubwa" ni Msimamo Unaowakilisha Waislamu
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ilifanya kongamano kubwa mtandaoni kwa ushirikiano na Al-Waqiyah TV kuhusu khiyana kubwa iliyofanywa na Imarati na Bahrain chini ya anwani: "Kujiweka Mbali na Khiyana Kubwa" mnamo Jumamosi, 2 Safar al-Khair 1442 H sawia na 19/9/2020 M.



