Zanzibar Yahitaji Suluhisho la Kiislamu Sio Serikali ya Mseto ya Kidemokrasia
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo tarehe 06/12/2020 chama kikuu cha upinzani cha Zanzibar Alliance for Change and Transparency-ACT-Wazalendo kilitangaza kujiunga na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU). Halafu mnamo tarehe 07/12/2020, Rais Hussein Mwinyi alimteua Seif Sharrif Hamad wa ACT kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na mnamo 08/12/2020 sherehe ya kuapishwa ilifanyika Ikulu ya Zanzibar.