Vita Juu ya Ufisadi Havishindiki Chini ya Urasilimali
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Jumanne, 28 Agosti 2018, Naibu wa Hakimu Mkuu wa Kenya (DCJ), Philomena Mwilu, alikamatwa jijini Nairobi juu ya madai ya ufisadi.